User Posts: Makazi Team
6
Idadi ya Bati za Kawaida ni Sawa na Migongo Mipana au Vigae Kiasi Gani?
16

Kikokotozi hiki kinakusaidia kujua tofali za Bati za kawaida za Futi 10 ni sawa na Bati za migongo mipana au Vigae Decra Kaisi gani  

3
Kubadili Idadi ya Tofali za Block Kuwa Kuchoma na Interlocking
12

Kikokotozi hiki kinakusaidia kujua tofali za block nchi 6 ni sawa na tofali ngapi za interlocking na kuchoma  

2
Fahamu makisio ya gharama na vifaa vya ujenzi wa nyumba yako
15

Kikokotozi hiki kinakusaidia kuchambua mahitaji yako ya kiwanja, nyumba gani ujenge, kujua gharama ya kujenga nyumba, gharama ya kila steji ya ujenzi wako ...

User Deals: Makazi Team
Added to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
Houseplan ID-14830, Bedrooms, + Blocks and Sheets
Deal
Maalumu kwa Wanachama Tuu! Jiunge kwa Tsh. 50,000/= tuu nawe unufaike! Msaada wa makadirio ujenzi Vikokotoo vya makadirio ujenzi Gawio la ...
Added to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
Houseplan ID-13774, Bedrooms, + Blocks and Sheets
Deal
Lipa Bili na Malipo Yako
Added to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
Added to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
Houseplan ID-13113, Bedrooms, + Blocks and Sheets
Deal
Maalumu kwa Wanachama Tuu! Jiunge kwa Tsh. 50,000/= tuu nawe unufaike! Msaada wa makadirio ujenzi Vikokotoo vya makadirio ujenzi Gawio la ...
Browsing All Comments By: Makazi Team
 1. Nyumba nzuri sana kwa wenye viwanja vyemba

 2. RAMANI SOFTCOPY PDF NI TSHS 300,000/=

 3. +255-657-685-268 WhatsApp

 4. Habari ndugu. Waweza jengewa popote ulipo kwa tofali za kuchoma, ila kutokana na staili ya nyumba itahitaji kutumia cement na sio tope.
  Ada yetu ya ufundi kwa kwa sasa ni hii hapa
  – Msingi Sh.2,574,000/= (Inaweza ongezeka kutokana na hali ya ardhi na kiwanja chako… udongo mfinyazi, mteremko…)
  – Kuta Sh.2,895,750/=
  – plasta Sh.2,574,000/=
  – Kupiga paa Sh.3,217,500/=

  Kwa msaada zaidi tuwasiliane +255-657-685-268

 5. – Ukubwa wa vyumba ni around 4x4mita kwa vya kawaida na master ni 4.5×4.5mita
  – Inawezekana kuongezewa chumba ikawa na 4 ijapokuwa itahitaji kuifanyia marekebisho ramani ambapo ada ya kukufanyia marekebisho yako binafsi imeoneshwa hapo juu ambayo ni Tshs. 1,250,000/=; baada ya malipo then utaanza kuandaliwa na itachukua siku ~14 kukamilika
  – Waweza pia angalia nyumba nyingine za vyumba 4 ktk link hii https://makazi.co/shop/?fwp_number_of_all_bedrooms=4
  – Kwa msaada zaidi +255-657-685-268 (namba iliyoandikwa chini ktk website)

 6. Hello, jiunge uanachama ili uweze ona makisio gharama ujenzi kwa nyumba nzima na kwa kila steji (msingi, kuta, paa, maji, Dari, umeme…) Kwa kila nyumba utakayofungua ikiwa pamoja na hii.

  Jiunge sasa uanachama kwa kubofya hapa
  https://makazi.co/membership-account/

 7. Safi sana. Hii nyumba ni special kwa yule anayependa kujenga nyumba yenye unafuu wa gharama.

 8. Waweza nunua hapohapo mtandaoni moja kwa moja na ukaletewa popote ulipo Duniani,
  au
  Kama hapo panakupa changamoto basi tuwasiliane +255-657-685-268

 9. Waweza nunua na kufanya malipo hapohapo mtandaoni na ukaletewa ulipo.
  au
  kwa msaada zaidi Waweza piga simu hii +255-657-685-268

 10. Jiunge uanachama kwa kubofya link hii
  Ili
  Uweze kuona gharama ujenzi (VIFAA + UFUNDI) kwa kila nyumba utakayofungua zikiwemo pamoja na hii na za vyumba 3

  Gharama zimeoneshwa kwa kila steji kama
  Msingi, kuta, paa, dari, maji, umeme, mashimo, sakafu…

  https://makazi.co/membership-register/

 11. yes

 12. Tshs. 325,0000/- pdf file
  au
  Tshs. 350,000/- ikiwa printed

 13. Hello, waweza kujua. Nunua ramani hii kisha uweze pata mchoro na vipimo vyake full package. Waweza nunua hapa hapa mtandaoni, au kama unapata tabu basi +255-657-685-268

 14. Hii nyumba angalau kiwanja chako kiwe ft 51×48. Sasa upande mmoja umepungua wa futi 40, fanya jitihada uongeze mpaka angalau 50

 15. Angalia hizi hapa kwa kubofya link hii==>
  https://makazi.co/shop/?fwp_number_of_all_bedrooms=3

 16. Yes. +255-657-685-268 WhatsApp

 17. Habari. Tumia kikokotozi hiki kubadili idadi ya block iwe ya kuchoma. https://makazi.co/kubadili-idadi-ya-tofali-za-block-kuwa-kuchoma-na-interlocking/

  Fungua hapo kisha jiunge uanachama ili uweze tumia kikokotozi.

  Note: msingi kujenga mara nyingi tunatumia blocks au mawe

 18. 300,000/=
  angalia chini penye form ya rangi ya bluu

 19. habari. tumia link hii ina kikokotozi cha kubadili idadi ya tofali kuwa za kuchoma

  https://makazi.co/kubadili-idadi-ya-tofali-za-block-kuwa-kuchoma-na-interlocking/

 20. Habari. Jiunge uanachama hapo juu ili uweze ona MAKADIRIO YA GHARAMA.

  Makadirio ya gharama yanaoneshwa kwa wanachama tuu.

 21. Habari Maria. Gharama za ujenzi tumeonesha tayari, ila ni mpaka uwe mwanachama ndio utaweza ziona.

  Jiunge uanachama ili uweze ona gharama za kujenga. Angalia ktk menu sehemu iliyoandikwa UANACHAMA kisha bofya hapo kujiunga.

  +255-657-685-268

 22. Habari Joyce. Jiunge uanachama hapo kuona gharama za kujenga NYUMBA (vifaa+ufundi)

  Gharama ufundi zimeandikwa kwenye kitufe cha mwisho

  Kwa ufafanuzi zaidi +255-657-685-268
  (Bofya kitufe cha mawasiliano hapo)

 23. Popote ulipo waweza pata huduma zetu. +255-657-685-268

 24. Neema habari!
  ==> gharama ya ufundi ya mafundi wetu waweza angalia ktk sehemu yenye FOMU YA NJANO, hapo waweza angalia gharama ya ufundi kwa steji9 mbalimbali za ujenzi kama msingi, kuta, paa…
  ==> Kuhusu gharama ya ujenzi mzima, hapo juu kuna kitufe kimeandikwa “Makadirio ya Gharama ya Ujenzi ya Nyumba” hapo ukikifungua kitufe hiki, basi utaweza ona KIKOKOTOZI CHA GHARAMA NZIMA YA NYUMBA, ijapokuwa kutumia kikokotozi hicho ni lazima uwe mwanachama na kujiunga uanachama unajiungia hapohapo kwenye kitufe. Kwa hiyo kama hujajiunga basi hutaona kikokotozi cha gharama na badala yake utaona sehemu ya kujiungia uanachama, jiunge hapohapo.

 25. Hello ndugu.
  Waweza jengewa. Gharama imeandikwa hapo juu kwenye sehemu ya NJANO. Lipa kidogo kidogo kwa zile steji unazoweza kulipia muda huo.

 26. Hello tumekujibu pia. Lkn kwenye ukurasa huu kwa juu kuna fomu yenye rangi ya bluu; hapo kuna sehemu ya kuchagua kurekebishiwa ramani, unajaza hapo na kulipia kisha utapigiwa simu kwa maongezi zaidi ya kuifanya kazi yako.

 27. Hello.
  Kwa sasa bado hatujaanza shughuli za ujenzi.
  Bali baada ya kama wiki mbili (katikati ya March 2019) ndio tutakuwa tunaanza kuwasaidia watu huduma ya ujenzi.

 28. Hello. Habari. Picha ziko hapa kwenye ukurasa huu. Na kuhusu gharana ya ramani zimeandikwa hapahapa sehemu yenye rangi ya bluu.

Register New Account
Reset Password
Compare items
 • Total (0)
Compare
0

Send this to a friend