Fahamu makisio ya gharama na vifaa vya ujenzi wa nyumba yako

Kikokotozi hiki kinakusaidia kuchambua mahitaji yako ya kiwanja, nyumba gani ujenge, kujua gharama ya kujenga nyumba, gharama ya kila steji ya ujenzi wako (msingi, kuta, paa, maji, umeme…), kujua kiasi gani cha tofali na bati  zitahitajika kujengea nyumba yako, kujua kiasi cha mkopo unaoweza kupata benki na kila mwezi utakuwa unarudisha kiasi gani benki.

Hiki kikokotozi ni kizuri sana ijapokuwa ni kizito maana kina mahesabu marefu ya kihandisi kwa hiyo ni vyema ukitumie ukiwa na kompyuta. Ni kizuri sana na kinahitaji utulivu.

[ihc-hide-content ihc_mb_type=”show” ihc_mb_who=”2,5″ ihc_mb_template=”1″ ]

MAKISIO NA MCHANGANUO WA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YA NDOTO YAKO

Makisio haya ni maalumu kwa nyumba za kawaida (floor moja) zisizo ghorofa na ambazo zimepigwa bati la migongo mipana na msingi wake ni wa kawaida (plinth). Mahesabu haya yanafanyika tukiweka assumption unajenga katika kiwango cha ubora kinachokubalika kitaalamu bila kuchakachua. Asumption nyingine ni kwamba ardhi ipo vyema bila matatizo yeyote yenye kuongeza gharama. Asumption pia unajenga kwa kutumia fundi wa kawaida mwenye ujuzi mzuri (hautumii mkandarasi) na michakato yote ya ujenzi unaishughulikia wewe mwenyewe bila kuweka msimamizi wa pembeni. Chini kuna vielelezo vyenye kukupa mwanga kuhusu vipimo katika nyumba ili ufanye ukadiriaji mzuri. Kama ni mtu uliye makini chukua tape na upime huku unafanya makadirio. Jaza kwa umakini takwimu zako. Matokeo utakayopata sio 100% exactly, bali ni kukupa mwanga tuu katika kufanya maamuzi;; Yes, exactlness ipo around 90% - 85% kwa wengi na wachache itashuka mpaka 65%, lakini hii ni maalumu kukupa mwanga tuu katika maamuzi ya ujenzi!
Translate to Your Language
Tafsiri / Badili lugha
Changanua na Pangilia Mahitaji ya Nyumba ya Ndoto Yako

Weka tiki, chagua idadi ya vyumba na onesha ktk rula ukubwa wa chumba unachohitaji. Kama huhitaji basi usiweke tiki. Waweza muuliza rafiki au mtaalamu wa ujenzi kuhusu vipimo vya ukubwa; fanya hivi tumia tape upime hapo ulipo na jaza kipimo kwa ukubwa utakao. Vipimo vipo katika mita.
Sebule kuu
Idadi ya sebule kuu
-
+
Ukubwa wa sebule kuu
Sebule ya pembeni
Idadi ya sebule za pembeni
-
+
Ukubwa wa sebule za pembeni
Chumba cha chakula
Idadi ya vyumba vya chakula
-
+
Ukubwa wa chumba cha chakula
Jiko
Idadi ya jiko
-
+
Ukubwa wa jiko
Stoo ya jiko
Idadi ya stoo ya jiko
-
+
Ukubwa wa stoo ya jiko
Stoo nyingine
Idadi ya stoo nyingine
-
+
Ukubwa wa stoo nyingine
Chumba cha kulala
Idadi ya vyumba vya kulala
-
+
Ukubwa wa chumba cha kulala
Chumba cha kulala + bafu
Idadi ya vyumba vya kulala + bafu
-
+
Ukubwa wa chumba cha kulala + bafu
Chumba cha kulala + bafu + kuvalia
Idadi ya vyumba vya kulala + bafu + kuvalia
-
+
Ukubwa wa chumba cha kulala + bafu + kuvalia
Chumba cha kulala + bafu + kuvalia + mtoto
Idadi ya vyumba vya kulala + bafu + kuvalia + mtoto
-
+
Ukubwa wa chumba cha kulala + bafu + kuvalia + mtoto
Choo
Idadi ya vyoo
-
+
Ukubwa wa choo
Bafu
Idadi ya bafu
-
+
Ukubwa wa bafu
Choo + bafu
Idadi ya Choo + bafu
-
+
Ukubwa wa choo + bafu
Chumba cha kufulia
Idadi ya vyumba vya kufulia
-
+
Ukubwa wa chumba cha kufulia
Chumba cha kupasi nguo
Idadi ya vyumba vya kupasi nguo
-
+
Ukubwa wa chumba cha kupasi nguo
Chumba cha kusomea / ofisi
Idadi ya vyumba vya kusomea / ofisi
-
+
Ukubwa wa chumba cha kusomea / ofisi
Veranda / balkoni ya jiko
Idadi ya veranda / balkoni za jiko
-
+
Ukubwa wa veranda / balkoni ya jiko
Veranda / balkoni ya sebure
Idadi ya veranda / balkoni ya sebure
-
+
Ukubwa wa veranda / balkoni ya sebure
Veranda / balkoni nyingine
Idadi ya veranda / balkoni nyingine
-
+
Ukubwa wa veranda / balkoni nyingine
Chumba cha kutazamia video
Idadi ya vyumba vya kutazamia video
-
+
Ukubwa wa chumba cha kutazamia video
Chumba cha tafakari
Idadi ya vyumba vya tafakari
-
+
Ukubwa wa chumba cha tafakari
Gereji ya ndani
Idadi ya gereji za ndani
-
+
Ukubwa wa gereji ya ndani
Chumba cha mazoezi
Idadi ya vyumba vya mazoezi
-
+
Ukubwa wa chumba cha mazoezi
Chumba cha ziada
Idadi ya vyumba vya ziada
-
+
Ukubwa wa chumba cha ziada
Mpangilio wa vyumba wa namna gani?
Ukubwa wa nyumba yako
0.00SQM

Mchanganuo wa Mahitaji Yako ya Ardhi

Hapa vipo katika mita (sio hatua za miguu}. weka tiki kwa ardhi unayohitaji na kwa ukubwa unaohitaji. Kwa afya ya familia, ukubwa wa ardhi haushuki chini ya mita za mraba 400. Tumia tape kupima hapo ulipo uhakikishe uhitaji wako!
Vyumba na mabanda ya nje
Idadi ya vyumba vya nje
 • - select a option -
 • Chumba 1
 • Vyumba 2
 • Vyumba 3
 • Vyumba 4
 • Vyumba 5
 • Vyumba 6
 • Vyumba 7
 • Vyumba 8
 • Vyumba 9
 • Vyumba 10
 • Vyumba 11
 • Vyumba 12
 • Vyumba 13
 • Vyumba 14
 • Vyumba 15
 • Vyumba 16
 • Vyumba 17
 • Vyumba 18
 • Vyumba 19
 • Vyumba 20
 • Vyumba 21
 • Vyumba 22
 • Vyumba 23
 • Vyumba 24
 • Vyumba 25
Maegesho ya nje ya magari
Idadi ya magari
 • - select a option -
 • Gari 1
 • Gari 2
 • Gari 3
 • Gari 4
 • Gari 5
 • Gari 6
 • Gari 7
 • Gari 8
 • Gari 9
 • Gari 10
 • Gari 11
 • Gari 12
 • Gari 13
 • Gari 14
 • Gari 15
 • Gari 16
 • Gari 17
 • Gari 18
 • Gari 19
 • Gari 20
Bustani za mapumziko
Ukubwa wa bustani
 • - select a option -
 • Ndogo zaidi
 • Ndogo
 • Wastani kiasi
 • Wastani
 • Kubwa kiasi
 • Kubwa
 • Kubwa zaidi
Eneo la shughuli za nje
Ukubwa wa eneo la shughuli za nje
 • - select a option -
 • Ndogo zaidi
 • Ndogo
 • Wastani kiasi
 • Wastani
 • Kubwa kiasi
 • Kubwa
 • Kubwa zaidi
Eneo la michezo
Ukubwa wa eneo la michezo
Eneo la kilimo na mifugo
Ukubwa wa eneo la kilimo na mifugo
Unahitaji eneo zaidi?
Sababu ya eneo zaidi...
Ukubwa wa eneo zaidi unaohitaji
-
+
Ukubwa wa kiwanja chako unachohitaji
Kwa afya ya familia, tunashauri kiwanja kisiwe chini ya 400 SQM
0.0 SQM

Makisio ya Gharama za Ujenzi wa Nyumba Yako

Makisio haya ni kulingana na takwimu za ujenzi kwa uzoefu na haswa kulingana na ukubwa wa nyumba yako. Makisio haya ni kujenga katika kiwango cha ubora mzuri bila kuchakachua, ijapokuwa nyumba nyingi mtaani zipo chini ya kiwango wakifikiri kuwa wanaokoa gharama kumbe sio. Wewe jenga katika ubora.
Jenga boma la nyumba
Tshs. 0.00
Jenga na fanya finishing kidogo tu
Tshs. 0.00
Jenga na fanya finishing angalau zaidi
Tshs. 0.00
Jenga na fanya finishing ipasavyo
Tshs. 0.00
Gharama ya kiwanja kwa 1 SQM
-
+
Gharama ya kununua kiwanja chako
Tshs. 0.00
Uwezo wa kuokoa gharama
Acha "0" kama ujenzi wako unauendesha kikawaida au haujaelewa. Kama utaweza kutumia mbinu za kuokoa gharama [hizo chini] basi punguza rula yako kuelekea -20% ili uweze kuokoa gharama ya ujenzi mpaka 20%; Na kama nyumba yako unayohitaji unadhani itakuwa na umaalumu katika ujenzi, aina ya vifaa, finishing, usimamizi basi ongeza kuelekea 20% ili uweze kuongeza gharama ya ujenzi mpaka 20%.
Mbinu za kuokoa gharama za ujenzi!

Mchanganuo wa Gharama za Ujenzi wa Nyumba Yako

Mchanganuo wa gharama ya ujenzi kwa hatua mbalimbali za ujenzi wako ili ikusaidie kujipanga na kuweka mikakati mizuri zaidi!
Gharama ya shughuli nyingine
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka shughuli nyingine
Tshs. 0.00
Gharama ya kujenga msingi
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka msingi
Tshs. 0.00
Gharama ya kujenga kuta
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kuta
Tshs. 0.00
Gharama ya kupiga zege (linta + veranda)
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kupiga zege (linta + veranda)
Tshs. 0.00
Gharama ya kupiga bati (migongo mipana)
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kupiga bati (migongo mipana)
Tshs. 0.00
Gharama ya kuweka madirisha (PVC / Aluminum)
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kuweka madirisha
Tshs. 0.00
Gharama ya kuweka milango (Hardwood)
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kuweka milango
Tshs. 0.00
Gharama ya kupiga sakafu + marumaru
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kupiga sakafu + marumaru
Tshs. 0.00
Gharama ya kupiga dari (gypsum)
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kupiga dari (gypsum)
Tshs. 0.00
Gharama ya kupiga rangi (wash & wear + weather guard)
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kupiga rangi
Tshs. 0.00
Gharama ya kujenga mashimo ya choo
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kujenga mashimo ya choo
Tshs. 0.00
Gharama ya kupiga bomba na mifumo ya maji
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kupiga bomba na mifumo ya maji
Tshs. 0.00
Gharama ya kuweka umeme
Tshs. 0.00
Jumla gharama mtiririko mpaka kuweka umeme
Tshs. 0.00

Makisio ya Mbali ya Kiasi cha Vifaa vya Muhimu

Makisio ya vifaa vya muhimu vya ujenzi kwa hatua kadhaa. Inategemea ungependa kutumia aina gani ya vifaa.

Kujenga msingi wa nyumba

Kujenga msingi wa nyumba kwa kutumia tofali za bloku 6" au mawe katika ujazo wa lori 4 CUM
Idadi ya tofali za bloku 6"
0pcs
au, Kiasi cha mawe katika lori 4 CUM
0Trips

Kujenga kuta za nyumba

Kujenga ukuta za nyumba unene 6" kwa tofali za bloku au tofali za kuchoma (60x160x240 mm) au tofali za hydrafoam (115x220x230 mm)
Idadi ya tofali za bloku 6"
0pcs
au, Idadi ya tofali za kuchoma
0pcs
au, Idadi ya tofali za hydraform
0 pcs

Kupiga paa nyumba

Kupiga paa nyumba kwa kutumia bati la kawaida au migongo mipana au vigae vya decra, assuming paa nyuzi ~25
Idadi ya vipande vya bati la kawaida (0.9x3 m)
0pcs
au, Kiasi cha bati la migongo mipana
0m
au, Idadi ya vigae vya decra
0pcs

Kupiga marumaru sakafuni

Kupiga marumaru sakafuni katika nyumba yako kulingana na ukubwa na aina ya marumaru
Idadi ya maboksi ya marumaru (30cm x 30cm), vipande 17 @ boksi
0boksi

Kupiga dari katika nyumba

Kupiga dari katika nyumba yako kulingana na aina ya materials
Idadi ya vipande vya gypsum bodi
0pcs

Makisio ya Mkopo wa Benki wa Kujenga Nyumba Yako

Benki zipo nyingi na zinatoa mikopo kwa riba kiasi tofautitofauti. Na inawezekana ukachukua mkopo wa hatua chache tu za ujenzi. Sio lazima kuchukua mkopo benki unless imekulazimu na una vigezo.
Unahitaji mkopo wa mpaka stage gani ya ujenzi
Riba kwa mwaka
-
+
Idadi ya miaka ya kulipa mkopo
Kwa mwajiliwa, Mshahara wako uanzie
Tshs. 0.00 @ mwezi
Kiasi cha kulipa kila mwezi
Tshs. 0.00 @ mwezi
Kiasi cha kulipa kila mwezi
Tshs. 0.00 @ mwezi
Kiasi cha kulipa kila mwezi
Tshs. 0.00 @ mwezi
Kiasi cha kulipa kila mwezi
Tshs. 0.00 @ mwezi
Kiasi cha kulipa kila mwezi
Tshs. 0.00 @ mwezi

Mbinu za Kujenga Nyumba Yako kwa Unafuu wa Gharama

 • jenga nyumba ambayo unahitaji (angalia mipango yako ya sasa na ya baadaye)
 • Pangilia na changanua vizuri kitaalamu mradi wako kabla ya kuanza ujenzi
 • Pata mchanganuo mzuri wa gharama zako za ujenzi
 • fungua macho katika teknolojia mbadala
 • nunua na safirisha vifaa kwa ujumla
 • tumia fundi mwenye uwezo wa kufanya kazi nyingi kwa ujumla na jumla ya punguzo
 • omba punguzo la gharama ununuapo
 • fanya utafiti wa bei maeneo mbalimbali kabla ya kununua
 • nunua bidhaa bora na halisia
 • tumia fundi mwenye utaalamu, nidhamu na ubora
 • nunua kabla baadhi ya vifaa pale bei inapokuwa imeshuka sokoni
 • waweza azima baadhi ya vifaa au hata kununua vile vilivyotumika
 • tunza risiti na hifadhi malipo ya manunuzi na ujenzi wote
 • jenga kwa kufuata ramani yako wala usikisie
 • epuka kubadilibadili mawazo na ramani unapoendelea ujenzi wako
 • fuatilia na simamia kwa umakini na ujirani ujenzi wako
 • fanya ukaguzi na uchanganuzi wa mahesabu na ujenzi wote kwa ujumla namna unavyokwenda
 • zuia wizi, kuvuja, kuoza na kuharibika katika mradi wako
 • NOTE:
 • Makisio haya yamefanyika kutumia kompyuta ili kuweza kukupa picha tu ili uweze kufanya maamuzi mazuri zaidi katika ujenzi wako; Makadirio ya kina zaidi yanaweza kufanyika kwa kutumia mtaalamu wako!
 • Makisio haya yamefanyika kitaalamu kwa kuangalia mazingira ya ujenzi wa Kitanzania haswa katika mitindo, aina ya vifaa, usimamizi, ubanaji kiasi wa gharama n.k.
 • [/ihc-hide-content]

  Register New Account
  Reset Password
  Compare items
  • Total (0)
  Compare
  0

  Send this to a friend